28 Aug 2020

Afisa Mazingira Daraja La at Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo

Welcome to Jobweb Tanzania. This website helps you to achieve your career dream by linking you to vacancies from Top Companies in Tanzania. Job Seekers are also exposed to best articles for career growth and development. Click here to subscribe for job alerts We strongly advise graduates not to pay money before getting a Job. Report fraudulent jobs to [email protected]


POST AFISA MAZINGIRA DARAJA LA II – 1 POST

POST CATEGORY(S) TOURISM AND TRAVEL
EMPLOYER Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo
APPLICATION TIMELINE: 2020-08-27 2020-09-10
JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kufanya doria ndani na nje ya maeneo ya hifadhi ya mbuga za wanyama. ii. Kusimamia utekelezaji wa taratibu za uwindaji na utalii. iii. Kutekeleza kazi za maendeleo katika Mapori ya Akiba iv. Kuhakiki ulinzi wa nyara za Serikali v. Kuhakiki vifaa vya doria vi. Kudhibi matumizi ya magari ya doria vii. Kuratibu uingiaji wa wageni katika Mapori ya Akiba. viii. Kusimamia uwindaji wa kitalii. ix. Kudhibiti na kusimamia umilikaji wa nyara. x. Kuweka mikakati ya kudhibiti moto mkali xi. Kukusanya takwimu za wanyamapori na mimea

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha IV au Kidato cha VI, wenye stashahada (diploma) ya Uhifadhi wa Wanyamapori kutoka Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali, na wenye uzoefu wa kazi kwa muda usiopungua miaka mitatu.
REMUNERATION TGS C

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


      Method of Application

Submit your CV and Application on Company Website : Click Here

Closing Date : 10th September, 2020.


Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job