This job listing has expired and may no longer be relevant!
8 May 2020

Quantity Surveyor x3 at National Audit Office (Naot)

Never Miss a Job Update Again. Click Here to Subscribe


Job Description


 (QUANTITY SURVEYOR II)

POST CATEGORY(S) LAND MANAGEMENT
EMPLOYER NATIONAL AUDIT OFFICE (NAOT)
APPLICATION TIMELINE: 2020-05-07 2020-05-21
JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Atafanya kazi kama Mkaguzi wa Ufanisi na kuwa na jukumu la kufanya Kaguzi za Ufanisi katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Serikali ikiwemo program na miradi mbalimbali ya maendeleo;

ii. Kusaidia katika kutambua maeneo yanayoweza kufanyiwa Ukaguzi wa Ufanisi pamoja na kutunza na kuhifadhi taarifa mbalimbali juu ya ukaguzi wa ufanisi;

iii.Kusaidia katika uandaaji wa mipango kazi ya Kaguzi za Ufanisi;

iv.Kusaidia katika kuandaa ripoti ya utafiti wa awali pamoja na Mipango ya Kazi itakayosaidia katika kufanya Ukaguzi wa Ufanisi;

v.Kukusanya taarifa na nyaraka za ukaguzi kwa ajili ya kufanya Ukaguzi wa Ufanisi;

vi.Kusaidia katika kuchakata taarifa na kuandaa ripoti za Ukaguzi wa Ufanisi;

vii.Kusaidia katika kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo ya Kaguzi za Ufanisi zilizokwishafanyika;

viii.Kusaidia katika uandaaji wa taarifa za ufuatiliaji wa mapendekezo ya Kaguzi za Ufanisi; pamoja na

ix.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye Shahada/Stashahada ya Juu ya Uhandisi (Bachelor of Science in Building Economics) kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali.

REMUNERATION TGS E

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share




Method of Application

Submit your CV and Application on Company Website : Click Here

Closing Date : 8th July, 2020.







Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE





Apply for this Job