30 May 2022

Mtakwimu Daraja La Ii at National Audit Office (NAOT)

Never Miss a Job Update Again. Click Here to Subscribe


Job Description


POST MTAKWIMU DARAJA LA II – 1 POST
EMPLOYER National Audit Office (NAOT)
APPLICATION TIMELINE: 2022-05-27 2022-06-09
JOB SUMMARY OK

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kufanya Ukaguzi katika utekelezaji wa shughuli mbalimbali za Serikali ikiwemo programu na miradi mbalimbali ya maendeleo;

ii.Kusaidia katika kutambua maeneo yanayoweza kufanyiwa Ukaguzi pamoja na kutunza na kuhifadhi taarifa mbalimbali juu ya Ukaguzi;

iii.Kusaidia katika uandaaji wa mipango kazi ya Ukaguzi;

iv.Kusaidia katika kuandaa ripoti ya utafiti wa awali pamoja na Mipango ya Kazi itakayosaidia katika kufanya Ukaguzi;

v.Kukusanya taarifa na nyaraka za ukaguzi kwa ajili ya kufanya Ukaguzi;

vi. Kusaidia katika kuchakata taarifa na kuandaa ripoti za Ukaguzi;

vii.Kusaidia katika kufanya ufuatiliaji wa utekelezaji wa mapendekezo ya Kaguzi zilizokwishafanyika;

viii.Kusaidia katika uandaaji wa taarifa za ufuatiliaji wa mapendekezo ya Kaguzi; na

ix.Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na msimamizi wake wa kazi zinazoendana na sifa na fani yake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE
Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza katika fani ya Takwimu au Hisabati au sifa zinazolingana na hizo kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali na wenye ujuzi wa kutumia kompyuta.

REMUNERATION TGS D

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share
Method of Application

Submit your CV and Application on Company Website : Click Here

Closing Date : 9th June, 2022.Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job