This job listing has expired and may no longer be relevant!
10 Sep 2020

Katibu Muhtasi Daraja La I at Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA)

Never Miss a Job Update Again. Click Here to Subscribe


POST KATIBU MUHTASI DARAJA LA I – 1 POST

POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION
EMPLOYER Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA)
APPLICATION TIMELINE: 2020-09-09 2020-09-23
JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kuchapa barua, taarifa na nyaraka za kawaida
ii. Kupokea wageni na kuwaelekeza sehemu wanazoweza kuhudumiwa;
iii. Kutunza kumbukumbu ya matukio, miadi, wageni, tarehe za viako, safari nk.
iv. Kupokea majalada, kuyagawa kwa maofisa walio katika sehemu alipo, na kuyakusanya, kuyatunza na kuyarudisha sehemu zinazohusika
v. Kuandaa orodha ya mahitaji ya vifaa vya ofisi na kuifikisha sehemu zinazohusika na upatikanaji wa vifaa hivyo
vi. Kufuatilia utekelezaji wa maagizo ya kiofisi ya mkuu wake sehemu mbalimbali

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Mwenye cheti cha kidato cha nne au sita, mwenye Stashahada ya kawaida ya uhazili kutoka chuo kinachotambuliwa na Selikari, mwenye ufaulu katika mitihani ya hatua ya tatu pamoja na masomo ya hati mkato/short hand ya Kiswahili na Kiingereza maneno 80 kwa dakika moja, aliyehudhuria mafunzo ya komputa na kupata cheti cha program za ‘Window, Microsoft Office, Microsoft Excel, Internet, E-mail na Publisher’ na mwenye uzoefu wa kazi usiopungua miaka mine (4) katika fani hiyo
REMUNERATION Kwa kuzingatia viwango vya Shirika

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


Method of Application

Submit your CV and Application on Company Website : Click Here

Closing Date : 9th September, 2020.Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job