28 Aug 2020

Fundi Sanifu Msaidizi (Maji) at Halmashauri ya Manispaa ya Musoma

Never Miss a Job Update Again. Click Here to Subscribe


POST FUNDI SANIFU MSAIDIZI (MAJI) – 1 POST

POST CATEGORY(S) WATER, MINING AND NATURAL RESOURCES
EMPLOYER Halmashauri ya Manispaa ya Musoma
APPLICATION TIMELINE: 2020-08-27 2020-09-10
JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kupima uwingi wa maji mtoni ii. Kusoma kituo cha hali ya hewa iii. Kufanya utafiti wa maji chiniya ardhi iv. Kuchora michoro ya utafiti wa maji chini ya ardhi v. Kukusanya sambupili za udongo zilizopatikana wakati wa uchimbaji.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne waliiohudhuria na kufaulu mafunzo ya mwaka mmoja kutoka Chuo cha Maji au Chuo chochote kinachotambulika na Serikali ambao wana cheti cha ufundi Daraja la III,
REMUNERATION TGS. A

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


Method of Application

Submit your CV and Application on Company Website : Click Here

Closing Date : 28th September, 2020.


Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job