8 Mar 2021

Dereva Daraja La x55 at Wakala Wa Vipimo (Weight And Measure Agency-wma)

Never Miss a Job Update Again. Click Here to Subscribe


Job Description


POST DEREVA DARAJA LA II – 55 POST

POST CATEGORY(S) DRIVER’S
EMPLOYER WAKALA WA VIPIMO (Weight and Measure Agency-WMA)
APPLICATION TIMELINE: 2021-03-04 2021-03-19
JOB SUMMARY N/A

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari;

ii. Kuwapeleka watumishi kwenye maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi;

iii. Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari;

iv. Kutunza na kuandika safari zote katika daftari la safari “Log-book”;

v. Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali;

vi. Kutoa ushauri wa kiufundi kuhusu usalama na uendeshaji wa gari;

vii. Kufanya usafi wa gari; na

viii. Kufanya kazi nyingine kama atakavyopangiwa na kiongozi wake zinazohusiana na elimu na ujuzi wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na Leseni ya Daraja la E au C1 ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha ajali. Awe amehudhuria Mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Drivin

Course) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali. Waombaji wenye Cheti cha majaribio ya Ufundi Daraja la II watafikiriwa kwanza.
REMUNERATION Kwa kuzingatia ngazi za mishahara y

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


Method of Application

Submit your CV and Application on Company Website : Click Here

Closing Date : 19th March, 2021.


Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job