8 Mar 2021

Afisa Vipimo Daraja La x150 at Wakala Wa Vipimo (Weight and Measure Agency-WMA)

Never Miss a Job Update Again. Click Here to Subscribe


Job Description


POST AFISA VIPIMO DARAJA LA II – 150 POST

POST CATEGORY(S) MANUFACTURING
EMPLOYER WAKALA WA VIPIMO (Weight and Measure Agency-WMA)
APPLICATION TIMELINE: 2021-03-04 2021-03-19
JOB SUMMARY N/A
DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i.Kukagua, kuhakiki na kuvirekebisha vipimo vya wafanyabiashara;

ii.Kutunza na kuhifadhi vifaa vya kitaalam vitumikavyo katika utendaji wa kazi;

iii.Kutoa ushauri kuhusu masuala ya uhakiki na matumizi ya vipimo;

iv. Kufanya upelelezi kuhusu ukiukwaji wa Sheria ya vipimo;

v.Kupokea na kufanyia kazi malalamiko ya wadau na wateja; na

vi.Kufanya kazi nyingine kama atakavyopangiwa na kiongozi wake zinazohusiana na elimu na ujuzi wake wa kazi;

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Shahada au Stashahada ya juu katika fani ya Metrolojia (Degree/Advanced Diploma in Legal and Industrial Metrology) kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION Kwa kuzingatia ngazi za mishahara y

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


Method of Application

Submit your CV and Application on Company Website : Click Here

Closing Date : 19th March, 2021.


Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job