10 Sep 2020

Afisa Utafiti Kilimo (Agricultural Research Officer) x2 at Tanzania Agricultural Research Institute (TARI)

Never Miss a Job Update Again. Click Here to Subscribe


POST AFISA UTAFITI KILIMO (AGRICULTURAL RESEARCH OFFICER) – 2 POST

POST CATEGORY(S) FARMING AND AGRIBUSINESS
EMPLOYER Tanzania Agricultural Research Institute (TARI)
APPLICATION TIMELINE: 2020-09-09 2020-09-23
JOB SUMMARY NA

DUTIES AND RESPONSIBILITIES

i. Kusaidia kuandika na kukusanya ripoti za utafiti wa kilimo/uchumi kilimo chini ya maelekezo ya Afisa Utafiti Mwandamizi;
ii. Kukusanya, kurekodi na kuchanganua takwimu za kazi za utafiti zinazoendelea;
iii. Kuhudhuria mikutano ya Kanda ya kuhuisha programu za utafiti;
iv. Kusaidia katika kuendesha semina na kuwaelekeza wakulima jinsi ya kutumia teknolojia mpya kwa kuzingatia hali ya uchumi na mazingira yao;
v. Kutoa ripoti ya maendeleo ya utafiti na mapendekezo ya utafiti katika mikutano ya kanda ya kuhuisha program za utafiti;
vi. Kufanya shughuli za utafiti chini ya maelekezo na uangalizi wa Afisa Utafiti Mwandamizi;
vii. Kuandika mapendekezo ya utafiti chini ya uongozi wa afisa utafiti mwandamizi;
viii. Kuandika ripoti za miradi ya utafiti kwa ajili ya kupitishwa na Afisa Utafiti Mwandamizi;
ix. Kufanya majaribio ya husishi ya kilimo ma mifugo katika mashamba ya wakulima kwa kushirikiana na Maafisa Ugani na wakulima wenyewe; na
x. Kufanya kazi zozote kama atakavyoelekezwa na mkuu wake wa kazi.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE

Kuajiriwa wenye shahada ya kwanza (bachelor degree) ya Uhandisi Kilimo au sifa inayolingana na hizo kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serikali.
REMUNERATION TGRS A

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


Method of Application

Submit your CV and Application on Company Website : Click Here

Closing Date : 9th September , 2020.


Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job