4 Feb 2019

Tume Ya Utumishi Wa Mahakama Jobs in Tanzania : Dereva Daraja la II x2

Welcome to Jobweb Tanzania. This website helps you to achieve your career dream by linking you to vacancies from Top Companies in Tanzania. Job Seekers are also exposed to best articles for career growth and development. Click here to subscribe for job alerts We strongly advise graduates not to pay money before getting a Job. Report fraudulent jobs to [email protected]


Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania Tume Ya Utumishi Wa Mahakama
Tume ya Utumishi wa Mahakama ni chombo kilichoundwa kwa mujibu wa Aya ya 112(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Aidha, Sheria ya Uendeshaji wa Mahakama Na. 4/2011 inaipa Tume ya Utumishi wa Mahakama jukumu la kuajiri watumishi wa kada mbalimbali wa Mahakama pamoja na majukumu yake mengine.

Hivyo, Tume ya Utumishi wa Mahakama inawatangazia Watanzania wenye sifa zilizoainishwa hapa chini kwa kila nafasi ya kazi na ambao wako tayari kufanya kazi katika Mahakama ya Tanzania katika Mikoa mbalimbali kuleta maombi yao ya kazi. Nafasi hizo ni:

2 Dereva Daraja la II – (TGS B)
Kwa maelezo zaidi tembelea tovuti zifuatazo:
www.judiciary.go.tz
www.ajira.go.tz
www.utumishi.go.tz
www.tls.or.tz
www.Sheria.go.tz .

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


      Method of Application

Kwa walioko Dodoma wafike Banda Na.33 la Tume ya Utumishi wa Mahakama katika Viwanja vya Nyerere Square kwenye maon esho ya Wiki ya Sheria kabla ya tarehe : 6/2/2019 Mwisho wa kupokea barua za maombi ya nafasi hizo za kazi ni tarehe 18/02/2019 Imetolewa na; Katibu, Tume ya Utumishi wa Mahakama, S.L.P 8391, DAR ES SALAAM


Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job