4 Feb 2019

Tume ya Utumishi Serikalini Jobs in Tanzania : Mlinzi Daraja la III (Ofisi Ya Mkuu Wa Mkoa Wa Kaskazini Unguja)

Welcome to Jobweb Tanzania. This website helps you to achieve your career dream by linking you to vacancies from Top Companies in Tanzania. Job Seekers are also exposed to best articles for career growth and development. Click here to subscribe for job alerts We strongly advise graduates not to pay money before getting a Job. Report fraudulent jobs to [email protected]


Tume ya Utumishi Serikalini inatangaza nafasi za kazi katika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja na ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja kama ifuatavyo: –
OFISI YA MKUU WA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA:
Mlinzi Daraja la III (Ofisi Ya Mkuu Wa Mkoa Wa Kaskazini Unguja)
Sifa za Waombaji:
• Awe ni Mzanzibari.
• Awe amehitimu Elimu ya Sekondari na kupata mafunzo ya Ulinzi kutoka JKU au JKT.

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


      Method of Application

Jinsi ya Kuomba: • Barua za maombi ziandikwe kwa Mkono na zitumwe kwa anuani ifuatayo:- KATIBU TUME YA UTUMISHI SERIKALINI, S. L. P 1587 - ZANZIBAR. Muombaji anaombwa kuwasilisha ombi lake moja kwa moja katika Ofisi ya Tume ya Utumishi Serikalini iliyopo Jumba la Wananchi Forodhani Zanzibar wakati wa saa za kazi. Kwa waombaji walioko Pemba wanaombwa kuwasilisha maombi yao Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Chake Chake Pemba. Muombaji anatakiwa kuainisha nafasi anayoiomba vyenginevyo maombi yake hayatazingatiwa.

Barua za Maombi ziambatanishwe na mambo yafuatayo:- • Kivuli cha Cheti cha kumalizia masomo • Kivuli cha Cheti cha mtihani wa Taifa (Elimu ya Sekondari) • Kivuli cha Cheti cha Kuzaliwa. • Kivuli cha Kitambulisho cha Mzanzibari. • Picha moja (1) ya Passport Size iliyopigwa karibuni. • N.B: Atakaewasilisha „Statement of Result‟ au „Progressive Report‟ maombi yake • hayatazingatiwa. • Tarehe ya mwisho ya kupokea maombi ni tarehe 08 Februari, 2019 wakati wa saa za kazi.


Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job