5 Feb 2019

Shinyanga Municipal Council Jobs in Tanzania : AFISA Tabibu (Clinical Officers) x3

Welcome to Jobweb Tanzania. This website helps you to achieve your career dream by linking you to vacancies from Top Companies in Tanzania. Job Seekers are also exposed to best articles for career growth and development. Click here to subscribe for job alerts We strongly advise graduates not to pay money before getting a Job. Report fraudulent jobs to [email protected]


HALMASHAURI YA MANISPAA SHINYANGA
SHIRIKA LA AGPAHI LIKISHIRIKIANA NA OFISI YA MKURUGENZI WA
MANISPAA YA SHINYANGA WANATANGAZA NAFASI ZA KAZI ZIFUATAZO;
• AFISA TABIBU – CLINICAL OFFICERS (3)
• WAUGUZI – RN, EN (3)
3 AFISA Tabibu (Clinical Officers)

Sifa za mwombaji;
• Awe Mtanzania
• Awe na uwezo wakuongea kiingereza na Kiswahili 3. Awe amemaliza kidato cha nne na kuendelea
• Awe na stashahada kutoka Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali
• Awe na umri kuanzia miaka 18 hadi 35
• Awe na uzoefu wa kutoa huduma CTC na awe tayari kufanya kazi CTC/PMTCT.
• Awe tayari kufanya kazi sehemu yoyote ndani ya Manispaa ya Shinyanga.

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


      Method of Application

Kazi zote zinazotangazwa ni za mkataba. Maombi yote yatumwe kwa njia ya posta kupitia anwani ifuatayo: Mkurugenzi wa Manispaa, S.L.P. 28, SHINYANGA. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 14/2/2019 saa 9.30 jioni Tarehe ya usaili mtajulishwa kwa njia ya simu. ** Weka namba yako ya simu katika barua yako. Limetolewa na Ofisi ya Mkurugenzi wa manispaa Shinyanga, tangazo hili linarudiwa baada ya lile la awali waombaji wake na wale walipatikana kutokidhi vigezo. NAKALA: Katibu Tawala (M), SHINYANGA S.L.P. 320, SHINYANGA. : Katibu Tawala (W) Ofisi ya Mkuu wa Wilaya, S.L.P. 359, SHINYANGA. : Mbao zote za Matangazo.


Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job