This job listing has expired and may no longer be relevant!
29 Jul 2019

Nursing Officers at ELCT Northern Diocese Tanzania

Welcome to JobwebTanzania.com. This website helps you to achieve your career dream by linking you to vacancies from Top Companies in Tanzania. Job Seekers are also exposed to best articles for career growth and development. Click Here to Subscribe for Job Alerts We strongly advise graduates not to pay money before getting a Job. Report fraudulent jobs to [email protected]


Descriptions KKKT Dayosisisi ya Kaskazini inasimamia Hospitali tatu ambazo ni Marangu, Machame na Karatu zinazotoa huduma za afya. Katika kutoa huduma bora tunatafuta watu wa kuajiri katika nafasi zifuatazo: Afisa Muuguzi Daraja La Ii (Nursing Officers) .

Majukumu yake ni kama yafuatavyo;
• Kufanya kazi za kiuguzi hospitalini, katika jamii na sehemu zote zinazotolewa huduma za Afya pamoja na huduma kwa wagonjwa majumbani.
• Kutayarisha mpango kazi wa huduma ya uuguzi na taarifa ya utekelezaji wake
• Kukusanya takwimu muhimu za Afya
• Kutoa elimu na ushauri nasaha kwa wagonjwa na jamii
• Kutoa huduma za kinga na uzazi
• Kutekeleza majukumu mengine atakayopangiwa na mkuu wake wa kazi

Sifa za Mwombaji:
• Awe na shahada ya Uuguzi kutoka Chuo Kikuu kinachotambuliwa na Serekali
• Awe amehitimu mafunzo ya vitendo kazini (Intership)
• Aliyesajiliwa na Baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania

Job Skills: Not Specified
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share

How to Apply

Watakaopenda watume maombi yao pamoja na picha ndogo ya karibuni (recent passport size) pamoja na wasifu wao (Curriculum Vitae) kwa Anuani ifuatayo kabla ya tarehe 10/08/2019: Katibu Mkuu KKKT Dayosisi ya Kaskazini S.L.P 195, MOSHI Barua pepe: [email protected]


Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job