This job listing has expired and may no longer be relevant!
31 Jul 2019

Msaidizi Misitu x5 at Tanzania Forest Services

Welcome to JobwebTanzania.com. This website helps you to achieve your career dream by linking you to vacancies from Top Companies in Tanzania. Job Seekers are also exposed to best articles for career growth and development. Click Here to Subscribe for Job Alerts We strongly advise graduates not to pay money before getting a Job. Report fraudulent jobs to [email protected]


Wakala wa huduma za misitu tanzania – kanda ya nyanda za juu kusini inawatangazia nafasi ya kazi za mkataba (mkataba wa mwaka mmoja (1) kama ifuatavyo: – Msaidizi Misitu (NAFASI 5) – Wilaya Ya Sumbawanga, Njombe, Makete Na Hifadhi Ya Mazingira Asilia Mlima Rungwe. .

SIFA ZA MWOMBAJI • Awe na Astashahada(Cheti) au Stashahada (Diploma) ya misitu AU mbao kutoka chuo kinachotambuliwa na Serikali

MAJUKUMU
• Kukusanya mbegu
• Kuhudumia na kutunza bustani za miti
• Kutunza na Kuhudumia miti na misitu
• Kufanya doria

Job Skills: Not Specified
Job Education Requirements: Not Specified
Job Experience Requirements: Not Specified

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share

How to Apply

Jinsi ya kutuma maombi Maombi yatumwe kwenye anuani ifuatayo yakiwa na nakala ya vyeti na wasifu wa mwombaji (curriculum vitae (cv) Meneja wa kanda Wakala wa huduma za misitu tanzania, Kanda ya nyanda za juu kusini, S.l.p 68, Mbeya. Muhimu: • Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 16/08/2019 maombi yatakayokuja baada ya tarehe hiyo hayatashughulikiwa. • Watakaoitwa kwenye usaili watajulishwa kupitia ujumbe mfupi wa simu zao,hivyo hakikisha unaandika namba ya simu iliyosahihi. • Mwombaji awe mmiliki halali wa vyeti husika Tangazo limetolewa na Meneja wa kanda S.l.p 68, mbeya


Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job