1 Feb 2019

Mobisol Jobs in Tanzania : Wakala wa Mauzo

Welcome to Jobweb Tanzania. This website helps you to achieve your career dream by linking you to vacancies from Top Companies in Tanzania. Job Seekers are also exposed to best articles for career growth and development. Click here to subscribe for job alerts We strongly advise graduates not to pay money before getting a Job. Report fraudulent jobs to [email protected]


Wakala wa Mauzo anatakiwa kutafuta wateja wenye uwezo na uhitaji wa kununua mitambo ya sola. Anatakiwa kuhakikisha kuwa wateja hao kama watanunua kwa mkopo basi wanauwezo wa kuulipia mkopo ule mpaka ukamilike.

Your tasks

  1. Kutafuta masoko ya kufanyia mauzo
  2. Kutafuta na kusajili wateja wenye uwezo na uhitaji wa kununua mtambo.
  3. Kumfanyia usahili wa mkopo mteja aliyopo tayari kununua mtambo.

Your Qualifications

  1. Uwe na elimu ya Diploma au zaidi
  2. Uwe na Umri usiopungua miaka 25
  3. Uwe tayari kuhamia sehemu nyingine
  4. Uwe mwenye kujituma
Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


      Method of Application

Submit your CV and Application on Company Website : Click Here
Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job