24 Feb 2019

Kampuni ya uzalishaji na usambazaji wa chakula cha kuku Job Vacancy : Afisa Mifugo

Welcome to Jobweb Tanzania. This website helps you to achieve your career dream by linking you to vacancies from Top Companies in Tanzania. Job Seekers are also exposed to best articles for career growth and development. Click here to subscribe for job alerts We strongly advise graduates not to pay money before getting a Job. Report fraudulent jobs to [email protected]


Kampuni ya uzalishaji na usambazaji wa chakula cha kuku iliyopo Dar es salaam inawatangazia nafasi za kazi kama ifuatavyo:
Afisa Mifugo
Sifa za mwombaji:
• Awe na elimu kuanzia diploma
• Awe na ushawishi kwa wateja.
• Ajue kuendesha piki piki
• Awe na lesseni ya udereva.

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


      Method of Application

Maombi yatumwe kwa barua pepe, [email protected]  Au ipelekwe kwa mkono kwenye ofisi zetu zilizopo Ubungo maeneo ya kituo cha Hostel. Tafadhali ambatanishisha vyeti vya shule na Cv yako. Mwisho wa kutuma maombi ni siku tano kutokea tangazo lilipotoka. Kwa maelezo zaidi waweza piga namba +255 713 362 289


Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job