5 Feb 2019

Ilula Orphan Program Jobs in Tanzania : Dereva

Welcome to Jobweb Tanzania. This website helps you to achieve your career dream by linking you to vacancies from Top Companies in Tanzania. Job Seekers are also exposed to best articles for career growth and development. Click here to subscribe for job alerts We strongly advise graduates not to pay money before getting a Job. Report fraudulent jobs to [email protected]


DEREVA WA BASI LA WANAFUNZI
VIGEZO MUHIMU
• Muombaji awe na cheti cha elimu ya Sekondari, angalau Kidato cha nne (Form four)
• Awe na umri usiopungua miaka 35
• Awe na leseni ya udereva daraja C (class C)
• Awe na uzoefu wa kuendesha basi angalau miaka 3 na kuendelea
• Awe hajawahi kupata ajali ya barabarani
• Asiwe mtumia kilevi au kuvuta sigara
• Awe na uwezo wa kuongea Kiingereza
• Awe na sifa nzuri kwenye jamii
• Awe na wadhamini wanaoheshimika katika jamii
• Awe tayari kufanya kazi nyingine yoyote atakayopangiwa
• Awe hajawahi kupatikana na hatia ya kudhalilisha watoto kwa namna yoyote
Awe tayari kuendesha vyombo vingine vya moto

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


      Method of Application

Maombi yote yatumwe kupitia barua pepe ifuatayo: [email protected]  AU Waombaji wanaruhusiwa kuwasilisha maombi yao kwa mkono kabla ya tarehe iliyotajwa Maombi yaliyoandikwa kwa mkono na kuambatishwa na vivuli vya vyeti yatumwe kwa Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini, Ilula Orphan Program, S. L. P 151, MAZOMBE – IRINGA Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 11.02.2019 saa 10:00 jioni.


Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job