11 Feb 2019

Halmashauri Ya Wilaya Ya Iringa Jobs in Tanzania : Dereva Daraja La II

Welcome to Jobweb Tanzania. This website helps you to achieve your career dream by linking you to vacancies from Top Companies in Tanzania. Job Seekers are also exposed to best articles for career growth and development. Click here to subscribe for job alerts We strongly advise graduates not to pay money before getting a Job. Report fraudulent jobs to [email protected]


Ofisi Ya Rais Tawala Za Mikoa Na Serikali Za Mitaa Halmashauri Ya Wilaya Ya Iringa

Tangazo La Nafasi Za Kazi
Mkurugenzi Mtendaji Wa Halmashauri Ya Wilaya Ya Iringa Anawatangazia Wananchi Wote Wenye Sifa Na Nia Ya Kufanya Kazi Katika Halmashauri Ya Wilaya Ya Iringa Kwa Nafasi Mbalimbali Kama Ifuatavyo;
Dereva Daraja La II

SIFA ZA MWOMBAJI
• Awe na Cheti cha Kidato cha Nne
• Awe na Leseni daraja C1 au E ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka mmoja bila kusababisha Ajali.
• Awe amehudhuria Mafunzo ya msingi ya uendeshaji Magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
• Waombaji wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja II (Trade Test) watafikiriwa kwanza.

MAJUKUMU YA KAZI:
• Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari
• Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi.
• Kufanya matengenezo madogo madogo katika gari.
• Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari.
• Kufanya usafi wa Gari
• Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali
• Kufanya kazi zingine kadri atakavyoelekezwa na Msimamizi wake.
2.3 NGAZI YA MSHAHARA TGS B

Job application procedure
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA:
• Barua za Maombi ziambatishwe na nakala za Vyeti vya Elimu, Taaluma na Cheti cha kuzaliwa,
• Mwombaji aambatishe Picha mbili za rangi(Passport Size) za hivi karibuni
• Waombaji wa nafasi ya Udereva waambatishe Leseni ya Udereva.
• Kwa wale waliosoma Nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na Mamlaka (TCU au NECTA kulingana na ngazi ya Cheti)
• Maombi yaambatishwe na Maelezo binafsi (CV).
• Umri wa waombaji usizidi miaka 45
• Mwisho wa kupokea maombi hayo ni tarehe 22.02.2019 saa 09:30 Alasiri.
• Barua zote za Maombi ziandikwe kwa mkono , na zitumwe kwa anuani

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


      Method of Application

ifuatayo;- Mkurugenzi Mtendaji (W), Halmashauri ya Wilaya, S. L. P. 108, IRINGA IMETOLEWA NA MKURUGENZI MTENDAJI HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA.


Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job