24 Feb 2019

Global Publishers Ltd Jobs in Tanzania : Radio Manager

Welcome to Jobweb Tanzania. This website helps you to achieve your career dream by linking you to vacancies from Top Companies in Tanzania. Job Seekers are also exposed to best articles for career growth and development. Click here to subscribe for job alerts We strongly advise graduates not to pay money before getting a Job. Report fraudulent jobs to [email protected]


Anahitajika kijana wa mwenye umri wa kuanzia miaka 25 na mwenye elimu na uelewa wa kutosha katika masuala ya usimamizi na uendeshaji wa kituo cha redio cha burudani.
UMAHIRI
Awe na kiwango cha elimu kisichopungua Diploma ya Uandishi wa Habari na uzoefu wa kufanyakazi, katika nafasi ya uongozi, katika kituo cha radio usiopungua miaka mitatu. Awe na uzoefu wa kusimamia na kuongoza timu ya wafanyakazi wa chumba cha habari. Awe mfuatiliaji mzuri wa masuala ya burudani ya muziki, wa ndani na nje ya nchi.
MAJUKUMU
Kijana anayetafutwa atakuwa na jukumu la kusimamia na kuendesha kituo cha radio cha habari na burudani. Aidha, kijana huyo atakuwa na wajibu wa kubuni na kuandaa vipindi, kuunda timu ya watangazaji, waandishi, masoko na watu wa idara zingine za kuendesha kituo cha radio.

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


      Method of Application

Kama unadhani una sifa hizo zilizoainishwa hapo juu, na ni lazima uwe nazo, fika na CV yako katika ofisi za Global Publishers Ltd zilizopo Sinza, Barabara ya Mori, katika jengo la Global Group, Dar: MENEJA MKUU Global Group S.L.P 7534 Dar es Salaam. MWISHO WA KUPOKEA MAOMBI NI FEBRUARI 28, 2019


Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job