This job listing has expired and may no longer be relevant!
30 Jul 2019

Driver II TGS B x400 at MDAs & LGAs

Welcome to JobwebTanzania.com. This website helps you to achieve your career dream by linking you to vacancies from Top Companies in Tanzania. Job Seekers are also exposed to best articles for career growth and development. Click Here to Subscribe for Job Alerts We strongly advise graduates not to pay money before getting a Job. Report fraudulent jobs to [email protected]


DUTIES AND RESPONSIBILITIES:

i)        Kukagua gari kabla na baada ya safari ili kubaini hali ya usalama wa gari,

ii)        Kuwapeleka watumishi maeneo mbalimbali kwenye safari za kikazi,

iii)       Kufanya matengenezo madogo madogo ya gari,

iv)       Kukusanya na kusambaza nyaraka mbalimbali,

v)       Kujaza na kutunza taarifa za safari zote katika daftari la safari,

vi)       Kufanya usafi wa gari, na

vii)      Kufanya kazi nyingine kadri anavyoelekeza na Msimamizi wake.

QUALIFICATION AND EXPERIENCE:

i)   Kuajiriwa kwenye Cheti cha Kidato cha Nne (Form IV) na leseni ya Daraja la E au C1 ya uendeshaji magari ambayo amefanyia kazi kwa muda usiopungua mwaka bila kusababisha ajali.

ii)  Awe amehudhuria mafunzo ya msingi ya uendeshaji magari (Basic Driving Course) yanayotolewa na Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) au Chuo kingine kinachotambuliwa na Serikali.

iii)  Waombaji wenye Cheti cha Majaribio ya Ufundi Daraja la II watafikiriwa kwanza.

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share

How to Apply

Submit your CV and Application on Company Website : Click Here
Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job