13 Feb 2020

Afisa Utumishi Daraja La at MDAs & LGAs

Welcome to Jobweb Tanzania. This website helps you to achieve your career dream by linking you to vacancies from Top Companies in Tanzania. Job Seekers are also exposed to best articles for career growth and development. Click here to subscribe for job alerts We strongly advise graduates not to pay money before getting a Job. Report fraudulent jobs to [email protected]


POST AFISA UTUMISHI DARAJA LA II – NAFASI 1 – 1 POST
POST CATEGORY(S) HR & ADMINISTRATION
EMPLOYER MDAs & LGAs
APPLICATION TIMELINE: 2020-02-13 2020-02-26
JOB SUMMARY NA
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.    Kutunza Kumbukumbu sahihi za watumishi wote katika Wizara, Mikoa, Wilaya na Idara zinazojitegemea kulingana na mahali alipo;
ii.    Kutafsiri na kushughulikia utekelezaji wa miundo ya utumishi;
iii.    Kutafiti, kuchanganua na kukadiria idadi ya watumishi wanaohitaji mafunzo;
iv.    Kuandaa na kupanga mipango ya mafunzo ya muda mfupi na mrefu;
v.    Kukadiria na kupanga mahitaji ya vifaa vya mafunzo kwa kushirikiana na vyuo vilivyopo chini ya sekta zinazohusika; na
vi.    Kukusanya, kuchambua na kupanga takwimu na kumbukumbu zote zinazohusu mipango ya watumishi.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa wenye Shahada ya kwanza ya Sayansi Jamii au Sanaa kutoka katika Vyuo Vikuu vinavyotambuliwa na Serikali ambao wamejiimarisha (major) katika mojawapo ya fani zifuatazo:-
Menejimenti ya Raslimali Watu (Human Resources Management).
-Elimu ya Jamii (Sociology).
-Utawala na Uongozi (Public Administration).
-Awe na ujuzi wa kutumia kompyuta.
REMUNERATION TGS.D
Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


      Method of Application

Submit your CV and Application on Company Website : Click Here


Dont Miss Latest Jobs In Tanzania. Subscribe Today. CLICK HERE

Apply for this Job