10 Sep 2019

20+ New Technicians MAFUNDI at Mbeya University of Science and Technology

Welcome to Jobweb Tanzania. This website helps you to achieve your career dream by linking you to vacancies from Top Companies in Tanzania. Job Seekers are also exposed to best articles for career growth and development. Click here to subscribe for job alerts We strongly advise graduates not to pay money before getting a Job. Report fraudulent jobs to [email protected]


CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA

 

Simu:+255 (0)25 2502861or 2503016/7                                                                                                 

Nukushi +255 (0)25 2502302/0736608528                                                                                       S.L. P 131,

Baruapepe:  [email protected]  Mbeya,            [email protected]                Tanzania. Website: www.mustnet.ac.tz  

09 Septemba, 2019

TANGAZO LA KAZI KWA MAFUNDI – UJENZI WA MABWENI

YA WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA

MAKAMU MKUU WA CHUO, CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA

(MUST) ANAWATANGAZIA MAFUNDI WENYE SIFA ZILIZOAINISHWA CHINI KWA AJILI YA KUOMBA KUFANYA KAZI ZIFUATAZO:-

Na. MAFUNDI WANAOTAKIWA KWA KAZI ZITAKAZOFANYIKA
01. MAFUNDI UJENZI (MASONRY)
02. MAFUNDI SELEMARA( CARPENTERS)
03 MAFUNDI CHUMA (STEEL FIXERS)
04 MAFUNDI UMEME (ELECTRICIANS)
05 MAFUNDI BOMBA (PLUMBERS)
06 MAFUNDI TEHAMA (ICT TECHNICIANS)
07 MAFUNDI WA KUCHOMELEA NA ALUMINIUM (ALUMINIUM AND WELDING WORKS)
08 MAFUNDI RANGI (PAINTERS)

WAOMBAJI WANATAKIWA KUWA NA SIFA ZA MSINGI ZIFUATAZO ILI KUFANYA KAZI NA CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA:-

  • MUOMBAJI AWE NA UZOEFU USIOPUNGUA MIAKA MITANO KWENYE KAZI TAJWA HAPO JUU, AU ELIMU YA UFUNDI ISIYOPUNGUA TRADE TEST GRADE III NA UZOEFU WA MIAKA MITATU.
  • MUOMBAJI AWE NA UJUZI WA KUTOSHA KUFANYA KAZI HIZO ZILIZOTAJWA NA AAMBATANISHE NYARAKA ZA KAZI ALIZOKWISHA ZIFANYA.(IKIWEMO MAWASILIANO YA ALIKOWAHI KUFANYA KAZI)

1

 

N.B MAFUNDI WALIOKWISHA FANYA KAZI ZINAZOFANANA NA HIZI WATAPEWA KIPAUMBELE

 

  • MUOMBAJI AWE NA UTAMBULISHO WA MLIPA KODI (TIN)
  • MUOMBAJI AWE MTANZANIA NA AAMBATANISHE UTAMBULISHO WAKE( KIVULI CHA KITAMBULISHO CHA URAIA AU MPIGA KURA AU LESENI YA UDEREVA)
  • MUOMBAJI AWE NA WADHAMINI WAWILI, NAMBA YA SIMU YA MUOMBAJI NA NAMBA ZA SIMU ZA WADHAMINI.
  • WATAKAOITWA KUJA KUCHUKUA MAKABRASHA AU NUKUU ZA BEI NI WALE WATAOPITA KATIKA MCHUJO WA AWALI.
  • BAHASHA ZENYE MAOMBI ZIFUNGWE MADHUBUTI NA KUTIWA LAKIRI (SEALED WAX) NA ZISIONYESHE ALAMA YOYOTE YA UTAMBULISHO WA

MUOMBAJI NA KUANDIKWA KWA HERUFI KUBWA. ‘’ OMBI LA KUFANYA KAZI NA KAZI ATAKAYOOMBA KATI YA KAZI TAJWA’ MFANO. MAOMBI YA KAZI YA UFUNDI CHUMA.

UTARATIBU WA KULETA MAOMBI PAMOJA NA VIAMBATA TAJWA HAPO JUU

MAFUNDI WOTE WENYE SIFA WANAALIKWA KUWASILISHA MAOMBI YAO KWA

KUANDIKA BARUA NA KUWASILISHA KWA MKONO KWENDA

 

OFISI YA MANUNUZI NA UGAVI (MUST)

KATIBU WA KAMATI YA MANUNUZI,

UJENZI WA MABWENI YA WANAFUNZI

S.L.P 131

MBEYA.

 

AU

 

KWA BARUA PEPE  IFUATAYO: [email protected]

 

 

MWISHO WA KULETA MAOMBI NI JUMANNE YA TAREHE 24.09.2019 SAA 9.30 ALASIRI. MAOMBI YATAKAYO WASILISHWA KWA KUCHELEWA HAYATOPOKELEWA.

 

 

MAKAMU MKUU WA CHUO

CHUO KIKUU CHA SAYANSI NA TEKNOLOJIA MBEYA

2

 

Sharing is Caring! Click on the Icons Below and Share


Apply for this Job